Lakini Gaddafi hafanikiwa. Badala yake mpango wake ulizusha
mgawanyiko zaidi baada ya kubadilisha kutoka Umoja wa nchi Huru za
Afrika (OAU) kwenda Umoja wa Afrika (AU), huko mjini Durban Afrika
Kusini mwaka 2002, ambapo yalijitokeza makundi yanayounga mkono na
kumpinga. Muongozo wa kuanzishwa kwa AU uliondoa sera ya zamani ya
kutoingilia kati masuala ya nchi. Hapa ni picha ya uzinduzi wa AU.
0 comments: