PUNTLAND YAHUSISHA UHUSIANO WAKE NA SERIKALI YA SOMALIA

Puntland eneo linalotawaliwa na Somalia
Mkoa unaojitawala wenyewe Somalia, Puntland umesema umesitisha uhusiano wake na serikali kuu ya taifa hilo kwa kuituhumu kukataa pendekezo la kugawana madaraka na serikali kuu ya Somalia.
Sudi Mnette amezungumza na Mbunge Hussein Bantu aliyeko Mogadishu na kwanza alitaka kujua hatua hiyo wameipokeaje
TLAND YASITISHA UHUSIANO WAKE NA SERIKALI YA ? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Share on Google Plus

0 comments: