MATUKIO MUHIMU KATIKA MIAKA 50 YA UMOJA WA AFRICA

  • Westsaharische Frauen in einem Flüchtlingscamp (c) dpa - Bildfunk+++

    Matukio muhimu katika miaka 50 ya Umoja wa Afrika

    Sera ya ukombozi wa kijeshi

    Licha ya kanuni zake kwamba hali ya mipaka inabaki bila kuguswa, OAU iliitambua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara (Sahara Magharibi), iliyotangazwa na Chama cha Polisario. Hii ilipelekea nchi ya Morokko kujitoa katika umoja huo, na hadi wakati huu, imeendelea kuwa nchi pekee ya kiafrika iliyojitoa katika umoja huo kwa hiari.CHANZO DW
Share on Google Plus

0 comments: