HII NDIYO FAMILIA MPYA YA FOMER MISS TANZANIA JACQUILINE NTUYABALIWE NA MUMEWE MR REGNALD MENGI NA WATOTO WAO MAPACHA

J
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia
kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
 Klyn sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na Baba yao mzazi.
.
Klyinn na mumewe Mr. Reginald Mengi na watoto wao mapacha.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.
K LYN 4 K LYN 3 K LYN 1 K LYN 2
Share on Google Plus

0 comments: