TANZANIA YASHINDWA KUJITUTUMUA KWA UGANDA, YAAMBULIA BAO 1-0 WAKIWA NYUMBANI


Leo Jumamosi tarehe 13, July: Tanzania imepambana na Uganda kwenye uwanja wa taifa katika mchezo wa kugombea nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya mataifa huru ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza kwenye ligi za ndani.Katika mchezo huo timu ya Uganda imeweza kuibuka mshindi wa mechi hiyo baada ya kuipatia timi hiyo ushindi wa goli 1-0 kupitia kiungo wao Dennis alieipa timu hiyo ushindi katika dakika ya 46.

Share on Google Plus

0 comments: