VIMWANA WA SWAZLAND WAKIWA KWENYE GWARIDE RASMI TAYARI MMOJA WAO KUCHAGULIWA KUWA MKE WA MFALME MSWATI


Hawa ni aadhi ya Wasichana vigori wa Swazland wakiwa kwenye gwaride rasmi tayari mmoja wao kuchaguliwa na King Mswati kuwa mke wake. Mchakato huo hufanyika kila mwaka nchini swazland, Hii ni destuli kwa wafalme wa nchi hiyo kufanya hivyo sasa tujiulize ingekuaje kama Tanznia ingekuwa hivi pangetosha kweli.
Share on Google Plus

0 comments: