ZANZIBAR BADO MAMBO AYAJATULIA KANISA JINGINE LACHOMWA MOTO JANA

kanisa lilochomwa moto Zanzibar
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kuuwawa kwa risasi kwa padre Evarist Mushi huko Zanzibar, watu wasiojulikana wamelishambulia kwa mawe na baadae kulichoma moto kanisa la Walokole la Shaloom lililoko Kiyanga kwa Sheha mkoa wa kusini Unguja Zanzibar.
Kamanda wa polisi mkoa wa kusini Unguja Agustino Ulomi amesema hilo tukio limetokea jana saa tisa na nusu usiku, ambapo huo moto ulianza kuwaka baada ya vijana watatu walioonekana karibu na kanisa, baadae kidogo ndio mlinzi akaanza kusikia mawe yakirushwa juu ya bati.

 111
MAGAZETI YA LEO TAREHE 19/02/2013



.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.
Share on Google Plus

0 comments: