Jumla ya watahiniwa 24 waliandika matusi kwenye skripti zao za masomo mbalimbali. Kitendo hicho ni kosa kwa mujibu wa kifungu 5(13) cha Kanuni za Mitihani kinachosomeka:Kutokana na kosa hilo Baraza la Mitihani limefuta matokeo yao yote kwa mujibu wa Kifungu cha 6(2)(a) cha Kanuni za Mitihani kinachosomeka: Kitendo cha kuandika matusi kwenye karatasi za majibu (skripti)
kinaonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu. Serikali haitaweza
kuwavumilia hata kidogo watahiniwa wa aina hiyo. Hivyo, Serikali
itaangalia hatua zaidi za kisheria za kuchukua dhidi ya watahiniwa wote
walioandika matusi.
Kwa mujibu wa kifungu Na. 6(2)(b)
cha Kanuni za Mitihani, watahiniwa wote waliobainika kufanya
udanganyifu katika mitihani au kuandika matusi katika skripti zao
hawataruhusiwa kufanya mitihani inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la
Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja (01) kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa matokeo.
MAELEZO YA KIFO CHA PADRI EVARIST
Marehemu Padri Evarist Mushi.
Gari alilokuwemo Padri.
Padri evarist Mushi alifariki dunia jana jumapilin akiwa anaelekea kaniasani majira ya asubuhi.Watu wa tatu wanaokisiwa kumua padri Evarist inadaiwa kiwa walikuwa katika piki aina ya Vespa mpka sasa watu wamekishwatiwa mikononi mwa polisi.Padri Evarist ni mtumishi wa kanisa katoliki Mtoni Zanzibar Habari kamili kamili itaendelea kuwaletea habari ju ya uchunguzi unaoendelea juubn ya kifo cha mchungaji huyo
SIMBA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA AFRICA
kikosi cha simba
BAO pekee lililofungwa na Joao Martins katika dakika ya 24, limeifanya
CRD Libolo ya Angola kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba katika
mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam.
Martins alifunga bao hilo kwa kichwa akiunganisha krosi safi ya Carlos
Almeida kutoka wingi ya kulia. Almeida alipiga krosi hiyo mbele ya
mabeki Shomari Kapombe na Mussa Mudde MAGAZETI YA LEO TAREHE 18/02/2013
0 comments: