Balozi
wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa Joram M. Biswaro akiwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Balozi Naimi Aziz (kati)
na Afisa ubalozi Samwel Shelukindo wakipungia kumuaga Rais Kikwete
wakati ndege yake ikiondoka uwanjani hapo Jana jioni ya Februari 24,
2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na maafisa mbalimbali wa ubalozi wa
Tanzania Nchini Ethiopia katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole
jijini Addis Ababa jana jioni ya Februari 24, 2013 baada ya kuhudhuria
hafla ya Utiaji saini Mpango
wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Rais Kikwete, kabla ya kurejea Dar es
salaam jana, alikwenda Uganda kuhudhuria mazishi ya baba mzazi wa Rais
Yoweri Kaguta Museveni, Mzee Amos Kaguta, aliyefariki siku ya Ijumaa na
kuzikwa kijijini kwake Rwakitura.
0 comments: