HATIMAYE GOLDIE AZIKWA LEO NCHINI NIGERIA

.
.
.
.

.
Msanii Goldie ambae aliiwakilisha Nigeria kwenye jumba la Big Brother 2012 amezikwa leo,  Goldie ambae alifariki siku ya Valentine feb 14 2013.Imeripotiwa kwamba maneno ya mwisho ya Goldie yalikua ni kumuomba baba yake amuombee apone maumivu makali ya kichwa aliyokua nayo ambapo Daily Post wameripoti tena kwamba staa huyo alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali, foleni ya magari siku hiyo ya wapendanao ilichangia kuchelewa kufika hospitali.
Chanzo mojawapo cha kifo chake ni shinikizo la damu na maradhi ya moyo.
Share on Google Plus

0 comments: