IMEBAINIKA kuwa, mwanamuziki ambaye
aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Nasibu Abdul ‘Platnumz’, Avril
Nyambura ni staa anayetingisha kwa skendo nchini Kenya lakini anapendwa
ile mbaya.
chanzo cha habari ambacho kinaishi
nchini Kenya kililiambia Ijumaa hivi karibuni kuwa, Avril kwa skendo
anatisha lakini cha ajabu ni staa wa kike anayewavutia wengi nchini
humo.
AVRIL
“Yaani Avril ni kama Wema wa Kenya,
anatisha kwa skendo, kila siku magazeti yanamuandika na hivi karibuni
aliandamwa na ishu ya usagaji, cha ajabu anapendwa sana. Yaani ni kama
ilivyo kwa Wema wa Tanzania,” alisema mdau huyo.
0 comments: