Waziri Sita hamsimamisha Mkurugenzi mamlaka Bandari Nchini


Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Bandarini aliyesimamishwa kazi Maden Kipande.
HABARI zilizotufikia muda huu zinasema Waziri wa Uchukuzi, Samwel Siita,  amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini,  Madeni Kipande,  kutokana na matumizi mabaya ya ofisi yaliyoisababishia  serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.
Kusimamishwa kwa Kipande kunatokana na vyombo vya habari kufichua  ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi huyo ikiwa ni pamoja na  kuwasimamisha  wafanyakazi kinyume na taratibu na sheria.
Kashfa nyingine inayomsakama Kipande ni kuruhusu watu waliosimamishwa kazi bandarini kwa zaidi ya miaka miwili kuendelea kupokea mishahara na marupurupu kama kawaida.
Share on Google Plus

0 comments: