Kama unaitaji kutumia Internet ya Vodcom kudownload na kuperuzi angalia hapa.

Umekuwa ukitumia kiasi kikubwa cha pesa yako katika kununua salio ili uweze kuperuzi na kudownload baadhi ya application katika simu yako sasa leo ni mwisho wa kutumia pesa yako. Hii ni hakika na kweli usipuuzie soma fanya na ujipatie internet bureee kila siku, sasa fata maelekezo hapo chini.
 
1: Nenda kwenye "CONECTION SETTINGS"
2: Badilisha access point -> Conection name iwe "VLIVE"
                                         -> access point name iwe "VLIVE"
                                            -> access point name iwe "VLIVE"
                                              -> data bearer iwe "GPRS"
                                                -> homepage iwe "http://vlive.vodafone.com"
NB; Acha settings nyingine kama zilivyo, Sasa unaweza kutumia internet bure kama ninavyotumia mimi.
WIKI IJAYO TUTAKUONYESHA JINSI YA KUPATA MESEJI ZA VODACOM 100 KILA SIKU BURE...Hakikisha unalike page zetu za facebook ili uweze kupata habari zetu mara tu baada ya kuzipost, kama bado ulikua ujalike page zetu unaweza kulike hapa page yakwanza ni Habari kamili kamili Bonyeza hapa kulike....https://www.facebook.com/Habarikamili
Page ya pili ni Limk me bonyeza hapa kulike...https://www.facebook.com/pages/Link-Me/494337600705094
Share on Google Plus

1 comment: