Je wajua kuna zaidi ya akaunt milioni 30 za marehemu zinazotumika facebook

Idadi kubwa ya akaunti za marehemu zinazidikuongezeka kwa kasi ya juu katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Moja ya matukio zaidi ya kushangaza yaliowai kutokea 2010 ni uvamizi wa kifo kwenye Facebook.Probability of death by age
 Tuliamua kufanya makadirio yakina kuhusu swala hili, Namba zinaonyesha kwamba Wamarekani milioni 2.6 walikufa mwaka 2010 ikimaanisha kwamba theluthi moja ya Wamarekani ni marehemu katika Facebook na kwa makadirio yetu ni kua mwaka huu Wamarekani zaidi ya milioni 1 wanaotumia mtandao wa Facebook watafariki.
Share on Google Plus

0 comments: