Huyu ndiye bilionea ambae hajawahi kutumia simu wala kompyuta.

 http://www.factslides.com/imgs/buffet.jpg
Anaitwa Warren Buffett alianza kufanya kazi tangu akiwa na miaka 11 katika kampuni ya baba yake iliyoitwa
brokerage, mda huo akiwa hata hawezi kutamka vizuri jina la kampuni ya baba yake.
Warren Buffett anakadiliwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Dola milioni 46 huku ikiwa ni stori ya kutatanisha jinsi alivyopata utajiri huo huku akiwa hajawai kutumia simu wala kompyuta  Ofisini kwake
Unaweza kusoma zaidi kuhusu tajiri huyu kupitia link hii....http://www.rediff.com/money/2006/dec/26buffet.htm
Share on Google Plus

0 comments: