je wajua bajet ya muvi ya taitanic ilikua kubwa kuliko hata thamani ya meli yenyewe,

http://www.factslides.com/imgs/TitanicBack.jpg


Hapa ni ukweli kuhusu gharama ya meli ya Titanic ni dola milioni 7.5 ya kujenga ambayo ilijengwa mwaka 1912 ...  gharama ya muvi ya Titanic ni dola milioni 200! Hata tukisema meli hiyo ikijengwa kwa sasa pamoja na kuwa bei ya vifaa imepanda sana kulinganisha na kipindi kile bado meli hiyo ya Titanic ingegharimu kihasi cha milioni 175 ya kuijenga leo hii kwa mujibu wa Idara ya Marekani ya Kazi 19s na Mfumuko wa bei chombo Wengine wanaamini kwamba itachukua hadi milioni 400, lakini ukweli ni kwamba hata kama ingekua kwa sasa wangeitaji kutengeneza muvi ya "Titanic II" muvi hiyo itagharimu gharama kubwa kushinda hata bei hii ($400)!
Share on Google Plus

0 comments: