Rapa
wa kikenya na aliyekuwa pia mshiriki wa shindano la Big Brother Prezzo
kwasasa yuko matembezini Marekani ambako anatarajiwa kukutana na Jay -
Z kwa mara ya pili.
Wakati wa matembezi hayo alikuwa na shoo
ambayo ilipangwa ifanyike kwenye boti huko Dallas,Texas ambayo iligeuka
kuwa hasara kubwa, Kwa uvumi uliopo inaonyesha hakuuza kabisa. Watu 30
tu ndo walihudhuria wakati ilikuwa na nafasi ya mamia ya watu.
kulingana
na vyanzo huko Dallas,vinaonyesha kuwa Prezoo sio maarufu Marekani kama
alivyo maarufu huko Africa mashariki kitu ambacho kinaelezea sababu ya janga hilo.
0 comments: