HUYU NDIO MTOTO WA MIAKA 10 ALIYEENDESHA GARI KUMUWAISHA BIBI YAKE HOSPITALI

Mtoto Gryffin Sanders kulia akiwa pamoja na bibi pamija  na wadogo zake,kulia ni mdogo wake ambaye alikua amekaa siti ya nyuma siku ya tukio

Mtoto huyo wa miaka 10 aliweza kumsaidia bibi yake huyo wakati alipokuwa barabarani alipobanwa ghafla na ugonjwa wa moyo wakati akiendesha. Akisimulia bibi huyo alisema anamsifu sana mjukuhu wake huyo ambaye hakuweza kuzani kama angeweza kufanya kitu cha kijasiri na kushangaza kama
alichofanya siku hiyo.

Mtoto huyo aliweza kumkimbiza bibi yake hospitali kwa kwa kuendesha gari kwa spidi huku akifwata sheria zote za baraarani,Akielezea tukio hilo bibi wa motto huyo alisema hilo limekuwa ni tukio la kihistoria kwake kwani hakuwai kuwaza kama mjukuhuu wake huyo angeweza kufanya jambo kama hilo.
Mtoto huyo pia ameingizwa kwenye Record  ya  dunia ya Guiness World Records

Share on Google Plus

0 comments: