VODACOM WAZINDUA CHARGER YA SIMU INAYOTUMIA MIONZI YA JUA

Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati …

Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao ,

Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …
Share on Google Plus

0 comments: