SITTA,MWAKIEMBE, NA MAGUFURI KUGOMBEA URAIS 2015


*Sitta, Mwakyembe, Magufuli na Membe katika mizani ya uadilifu
*Dk. Bana asema wanamvuruga Rais Kikwete, wamepwaya kiuongozi
*Prof. Safari awaita matapeli wa kisiasa, Dk. Slaa awapuuza
                                                                                                         
SIKU moja baadaSIKU moja baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kutangaza timu inayoundwa na kundi lake kuwania ukuu wa dola mwaka 2015, maswali yameibuka kuhusu uadilifu wa timu hiyo.Juzi wakati akizungumza katika kongamano la Mawasiliano katika Nyanja ya Digitali la wanafunzi wa idara ya uhusiano na Masoko wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) jijini Mwanza, Sitta aliitaja timu hiyo inayoundwa na watu wanne kuwa mmoja wao atawania urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.Alisema wanaounda timu hiyo ni Waziri wa.......
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe.

Share on Google Plus

0 comments: