MAGAZETI YA LEO TAREHE 25 APRIL 2013

.

.

.

.

.

.

0 comments:

MAN MBABE WA LIGI KUU ENGLAND


0 comments:

MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 APRIL 2013

.

.
.
.

0 comments:

HUYU NDIYE PANYA ANAYEGUNDUA MABOMU TANZANIA

Shirika moja lisilo la kiserikali la Ubelgiji APOPO limeanza kuwafundisha panya namna ya kutambua mabomu yaliyofukiwa ardhini. Panya hao ambao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida wanafanyiwa majaribio Morogoro Tanzania .Inaaminika wanauwezo mkubwa wa kunusa kuliko mbwa. Hii inatokana na kuwa pua zao zipo karibu na ardhi,hali ambayo inawasaidia katika kazi yao ya utambuzi wa mabomu.

0 comments:

HIVI NDIVYO JINSI MABOMU YALIVYOLIPUKA BOSTON MAREKANII.

Rais Barack Obama amesisitiza kuwa serikali serikali itakahikisha kuwa washukiwa wa mashambulizi hayo lazima atakamatwa.
Picha na video kutoka Boston zilionyesha watu wakiwa wamecha.........

0 comments:

SHIBUDA ATISHIA KUANDAMANA NA N'GOMBE HADI IKULU ADAI ZINANYANYASWA

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda anatarajia kuongoza maandamano makubwa ya ng’ombe kutoka Lusumo Nyakabanga Mkoani Kagera, hadi Ikulu kwa Rais Jakaya Kikwete ili........

0 comments: