NIYONZIMA AIMALIZA AZAMU, YATUNDIKWA 1-0 NA YANGA

Yanga walijihakikishia ushindi jana baada ya mshambuliaji wao hatari Niyonzima kuwatundika Azamu goli moja na kuipatia timu hiyo ushindi wa goli 1-0,Nyonzima alipata goli hilo baada ya kuonganisha pasi iliyopigwa na Tegete
Share on Google Plus

0 comments: