Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi mkoani Singida.
Wema Sepetu, muigizaji maarufu na aliyekuwa Miss Tanzania 2006 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.- Alisema amechukua fomu ya
kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM wakati akiongea na
tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame
chanya kwa taifa mbeleni aundio wengi wao wanafuata ulaji kwanza?
Una maoni gani juu ya hatua hiyo ya mmiliki wa Kampuni ya Endless Fame kuingia katika Siasa?
STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.
Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.

0 comments: