PINDA WAWEKEZAJI 45 WAOMBA KUWEKEZA MTWARA


Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema wawekezaji 45 wameomba kuwekeza Mtwara baada ya kugundulika kwa gesi asilia mkoani humo. Akizungumza katika sherehe za kusimikwa kwa Askofu wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kusini Mashariki, Lucas Mbedule jana Mjini Mtwara, Pinda alisema uwekezaji huo utaiwezesha Mtwara kupaa kiuchumi ndani ya miaka 10 ijayo. 
Share on Google Plus

0 comments: