MNYIKA KAMATI YA MAKINDA INAKWENDA MTWARA KUFUNIKA KOMBE


Uamuzi wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, Jumamosi kuunda kamaati ya Bunge kwenda kuchunguza chanzo cha vurugu mkoani Mtwara umepingawa na mbunge wa Ubungo, (Chadema)John Mnyika baada ya kusema bunge la Bunge lilipaswa kuunda kamati teule badala yake Spika ameunda kamati yake yake maalumu ambayo haitazingatia kwaukamilifu matakwa ya sheria ya kinga, haki na madaraka ya Bungae katika kuwahoji mashahidi na kuitisha ushahidi
Share on Google Plus

0 comments: