Michuano ya Kombe na Amani na Upendo imemalizika jana kwa kikosi cha Katoro kutangazwa mabingwa wapya wa michuano hiyo iliyodhaminiwa na gazeti maarufu la michezo la Championi.Michuano hiyo imemalizika huku waumini wa.....
islamu na wakristo wakazi wa eneo la Buseresere na Katoro wakifikia mwafaka wa mgogoro mkubwa wa kidini uliosababisha maafa na watu kujeruhiwa.
Mchungaji Isaya akisaini makubaliano, wanaoshuhudia ni mpatanishi Eric Shigongo na Mbunge Gaudencia Bukiwimba.
Sheik ismail akisaini |
0 comments: