LWAKATARE AWEKWA NDANI BAADA YA KUKOSA DHAMANA

Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani leo.

Lwakatare akipelekewa rumande baada ya.....
kukosa dhamana
Wakili wa Lwakatare, Tundu Lissu (kulia) akimuelekeza jambo Mbuge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati wakijaribu kuandaa mipango ya dhamana.…
Share on Google Plus

0 comments: