Wema Sepetu, Ray , Hemedy PHD Wanyakua Tuzo Za ‘Tuzo Za Watu2015’


Mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Vicent Kugosi ‘Ray’ na Hemmedy PHD wameshinda tuzo za TUZO ZA WATU za mwaka huu zilizofanyika usiku wa jana.
 
Wema sepetu ameshinda tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa wakati Ray ameshinda tuzo ya muongozaji  wa filamu anayependwahuku Hemmed PHD ameibuka mshindi wa wa tuzo yamuigizaji wakiume anayependwa na filamu ya Kigodoro imeibuka kuwa ni filamu inayopendwa.
Share on Google Plus

0 comments: