
Brand CR7 ni mali ya mchezaji Cristiano Ronaldo na ana product mbalimbali kuanzia boxer,soksi, viatu hadi mashati chini ya jina hili. Mashati ya slim fit ni product maarufu sana kwenye prodict line ya CR7. Kwenye pitapita yangu ya kukusanya habari za Cristiano Ronaldo nimejua kwamba kama utahitaji kumiliki shati original kutoka kwa world class player Cristiano Ronaldo, basi zinatakutoka pesa zisizo pungua Tsh 130,000 hadi 160,000 kwa shati moja ukitumia bei ya mtandaoni.
Hapo chini ni mfano wa shati moja wapi linalouzwa sasa hivi.

0 comments: