Cheki hapa waafrika wanavyosafiri kuelekea nchi za Uraya

kama ulikua hujawahi kuona hii basi unaweza kuona hapa jinsi watu wanavyotafuta maisha kwa njia yoyote hile, hapa ni baadhi ya raia wa Africa wakiwakatika bahari ya mediterania wakijaribu kuingia nchi za uraya ili kutafuta maisha mazuri.
Share on Google Plus

0 comments: