Asilimia 90 ya watu wazima wanaume wa Somaliland wanatafuna mirungi

Alltagsdroge Khat in Somaliland (Foto: J. Jeffrey/DW)


Kiasi cha asilimia 90 ya watu wazima wanaume wa Somaliland wanatafuna mirungi wakitafuta 'mirqaan' - neno la Kisomali linalomaanisha nishai - inayoweza kupatikana kwenye kileo hiki. "Marafiki zangu hunikopesha pesa," alisema Abdikhalid alipoulizwa anawezaje kupata mirungi ilhali hana kazi. "Nikipata kazi tu, nitarejesha fadhila."
Share on Google Plus

0 comments: