HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa
silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na
nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita
Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya
silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
0 comments: