Hii sio picha kwaajili ya kufurahisha umma bali ni jambo la kweli na limesharipotiwa mara nyingi nyakati tofautitofauti na watu mbalimbali sasa mimi najiuliza kale kamsemo kuwa unesi ni wito kanamaanisha nini au ndio wito wa kujali aliempigia simu na kuacha sindano mwilini kwa mwenzio zaidi ya nusu saa.
Embu sema neno hapa kama wewe ni mzalendo mwenye uchungu na watu wanaoisha kama wanyama wasio na huruma hata kidogo kwaajiri ya wenzao.
Mimi binafsi neno langu nikua nesi kama huyo hafai kufukuzwa kazi tu bali awekwe ndani ikibidi apewe ata na adhabu ya viboko vya kutosha ili iwe fundisho kwa wengine. Unaweza pia nawe ukatoa neno hapo chini au ukarudi katika ukurasa wetu ukachangia hapo pia.
0 comments: