Ukweli kuhusu GOOGLE, Unajua ukisarchi "askew" katika Google search ulikosewa hadi leo ukiufungua umepinda upande wa kulia na Google imeshindwa kulekebisha.


Inasemekana kuwa kuwa katika mtandao wa Google search ulikosewa katika kusearch website ya "askew" na tatizo ilo Google imeshindwa kulekebisha hadi leo ukisachi neno hilo la "askew" kwenye Google search utaona page ikiwa imepinda upande wa kulia.
  unaweza ukajaribu na wewe pia ila kwa wale wanaotumia computer sijafahamu kama kwenye simu inaonekana pia ila unaweza kujaribu ila nilazima uweke simu yako katika mfumo wa Desktop viewer, Jinsi ya kufanya ili na wewe uone kasoro hii nenda kwenye Browser yako sehemu ya search anza kusearch goole kwanza ili upate goole search kama unatumia browser nyingine kisha  andika "askew" alafu sachi kama unatumia Google chrome au browser yako iko sycronized na Google search andika "askew" kisha sachi ujionee mwenyewe.

Share on Google Plus

0 comments: