Huyu ndiye mtu wakwanza kuweka picha facebook (profile picture) ilipoaanza kutumika kwa mara ya kwanza huko Marekani...

Anaitwa Al Pacino ni mtu wakwanza ambae picha yake ilikua ya kwanza kuonekana katika mtandao wa facebook mwaka 2007 baada ya mtandao huo kuanza kufanya kazi na kujulika kote duniani. Picha iyo iliwekwa katika mtandao huo baada ya aliyekuwa rafiki yake Zuckerberg aitwae Andrew kuitengeneza picha hiyo kwa mtindo wa nembo wakati wakiwa chuono.
 Al Pacino was the first ‘face' on Facebook
Pia kwa kidokezo tu \, Je wajua yakwamba mtandao wa facebook hauruhusu kuweka picha ukiwa unanyonyesha ...endelea kusoma habari zetu Toleo lijalo tutakuletea makala inayohusu huzuiwaji wa picha za wamama kunyonyesha na mengine usiyo yajua kuhusu mtandao wa Facebook...

Share on Google Plus

0 comments: