HAYA NDIYO YALIYOMPATA MISS BRAZILI BAADA YA KUCHOMA SINDANO KUONGEZA MAKALIO NA MAPAJA


Mtangazaji wa Brazilian TV,  Andressa Urach, na mshindi wa mashindano ya Brazil's Miss BumBum akiwa Hosipitali akipatiwa matibabu.

  Mtangazaji huyo alikaa hospitali kwa muda wa mwezi mmoja chini ya uangalizi wa madaktali.

  Mtangazaji huyo mwenye umri wa miaka 27 akionyesha sehemu aliyoathirika na operesheni hiyo

Mshindi wa mashindano ya urembo ya Brazil Miss BumBum amebainisha madhara aliopata baada ya kufanyiwa upasuaji wa plastiki kwnye mwili wake ili kumuongeza makalio pamoja na mapaja.

Andressa Urach, mwenye umri wa miaka 27, alitumia mwezi kupata huduma ya matibabu na madaktari wamedai kuwa waliogopa angeweza kupoteza mguu wake baada ya vidonda vilivyotoka mapajani mwake kuanza kuoza pamoja na misuli yake ilibidi kuondolewa.

Picha hizi zinaonyesha kiasi kikubwa cha madhara aliyopata mtangazaji huyo wa Brazil,
Miss Urach, ambaye.alifanya upasuaji huo kwaajiri ya maekebisho ya uso wake kupunguza taya, na kifua, pamoja na uke kupungua mdomo.
Habari zimeripotiwa kuwa alichoma sindano ya filers mbili, hydrogel na PMMA, Lakini Julai alianza kulalamika kutokana na usumbufu na maumivu na alikuwa amechoma kiasi cha 400ml za hydrogel mchanga katika kila moja ya mapaja yake juu. 
Pamoja na kazi, aliendelea kuwa katika maumivu na Novemba alipelekwa Hospitali ya Conceição katika Porto Alegre baada ya kuanza kutoka vidonda katika mguu wake wa kushoto.
Damage: The sobering, graphic photos show gaping holes in Miss Urach's thighs, all in the name of beauty

 As Miss Urach lay in hospital, her mother Marisete De Favari asked her 220,000 Twitter followers to pray

 The model wrote on December 26: 'My loves, thank you for the affection and chains of prayers'

 Slow going: The recovery from sepsis acts as a warning to the millions of Brazilians having plastic surgery

Pain: Miss Urach when her legs began hurting last year 
Share on Google Plus

0 comments: