Aliemaliza miaka 20 akishinda kwenye kaburi la mkewe afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97


Anaitwa Rocky Abalsamo mkewe alikufa mwaka 1993 baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo alipokua akisumbuliwa na ugojwa wa kuvimba moyo. Toke siku hiyo baada ya kifo cha mkewe jamaa huyo alikua akishinda kaburini kwa mkewe kila siku kuanzia asubhui hadi jioni bila kujali hali ya hewa. Jambo hilo lilitokana na jamaa huyo kumpenda sana mkewe huyo aliyekuwa akiitwa Julita na kumfanya jamaa huyo ashinde kila siku katika makaburi hayo ya St. Joseph Cemetery yaliyopo West Roxbury mjini Boston
Hapo chini ni picha ya mkewe Julita.


The love of his life: Julita Abalsamo died from complications with heart surgery in 1993
Share on Google Plus

0 comments: