MH. WENJE ATIWA MBALONI KWA KUONGOZA MAANDAMANO YA CHADEMA MIJINI MWANZA


Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisi  hapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi...

Habari  zaidi, baadae.
Share on Google Plus

0 comments: