Mwanamke ulingonMwaka 2012 Nkosazana Dlamini-Zuma alichaguliwa kuwa mwanamke wa
kwanza kuiongoza Halmashauri ya Afrika, ambayo ndiyo ofisi ya juu
kabisaa katika Umoja wa Afrika (AU). Waziri huyo wa zamani wa mambo ya
ndani wa Afrika Kusini alileta sauti mpya katika Umoja wa Afrika, kwa
mujibu wa waangalizi waliotoa maoni yao kuhusu siku zake mia moja za
kwanza ofisini.
0 comments: