MAN UNITED YAFUMULIWA 3-1 NA SEVILLA, MOYES MIKOSI MITUPU

MAMBO yameendelea kuwa magumu katika hatua za mwanzoni kwa kocha David Moyes, baada ya leo Manchester United kuchapwa mabao 3-1 na Sevilla katika mechi maalumu ya kumuaga Rio Ferdinand Uwanja wa Trafford.
Katika mchezo huo ulioshuhudiwa na mashabiki zaidi ya 40,000, mabao ya Sevilla yamefungwa na Perotti dakika ya 21, Marin dakika ya 25 na Rabello dakika ya 91, wakati bao la kufutia machozi la United limefungwa na Valencia dakika ya 65.
Kikosi cha Manchester United kilikuwa; De Gea, Fabio, Ferdinand, Smalling, Buttner, Valencia/Carrick dk65, Anderson/Giggs dk65, Cleverley/Jones dk46, Januzaj, Kagawa/Zaha dk65 na Henriquez/Lingard dk46.
Sevilla: Beto, Figueiras, Fazio, Pareja/Puerto dk56, Alberto, Medel, Kondognbia, Marin, Perotti, Vitolo na Bacca.
Testimonial: Rio was serenaded by the United supporters ahead of the match with Sevilla
Kuaga: Rio akiwapungia mkono mashabiki wa United kabla ya kuanza kwa mechi na Sevilla
Testimonial: Rio was serenaded by the United supporters ahead of the match with Sevilla
Sign of the times: United have a new manager in the dug out after Moyes arrived to take his position
Kocha mpya wa United, Moyes akisaini autographs wakati anaingia uwanjani
Sign of the times: United have a new manager in the dug out after Moyes arrived to take his position
Thanks for coming: Rio acknowledges the fans as he makes his way onto the Old Trafford turf
Thanks for coming: Rio acknowledges the fans as he makes his way onto the Old Trafford turf
Asante kwa kuja: Rio akiwapungia mikono mashabiki wakati anaingia uwanjani Old Trafford
Making his Marko: Marin scored as the Spaniards eased to victory over United
Marin akifunga
Making his Marko: Marin scored as the Spaniards eased to victory over United
Part poopers! Vitolo opened the scoring for the visitors after 21 minutes
Vitolo akifunga bao la kwanza dakika ya 21
United front: Ferdinand poses with Sevilla FC president Jose Maria del Nido (left) before kick-off
Ferdinand akiwa na Rais wa Sevilla FC, Jose Maria del Nido kabla ya mechi
United front: Ferdinand poses with Sevilla FC president Jose Maria del Nido (left) before kick-off 

Rio akipiga kazi ya mwisho United
Look who's turned up! Only kidding, it was just a girl with a Rooney mask after all
Look who's turned up! Only kidding, it was just a girl with a Rooney mask after all
Mashabiki wakiwa na picha za Rooney, ambaye anataka kuondoka.
Share on Google Plus

0 comments: