Uingereza imongeza masharti makali kwa wa Kenya wanaotaka kwenda kutembea nchini Uingereza. Sheria hizi mpya zitaanza kufanya kazi kwanzia November.
Kwanzia
November wa Kenya watakao pata visa ya kwenda kuitembelea uingereza
wataitajika waweke rehani kiasi cha pound £3,000 (KSh400,000) ambayo
watarudishiwa endapo watarudi nchini kwao pale visa zao zitakapokuwa
zime exipire.
The plan, part of a wider scheme by the British Government to rein in illegal immigration, is set for piloting in November.
Ukiachana
na wa Kenya nchi nyingine ambazo zipo kwenye black book ni Nigeria,
India, Pakistan, Sri Lanka and Bangladesh, according to the Financial
Times of London.
0 comments: