mahojiano katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM. Katika kipindi hicho, yafuatayo ni baadhi aliyoyaelezea:
-Maisha ya mjengoni-Alivyojisikia baada ya Mtanzania mwenzake Nando kuondolewa
-Asema alijua kuwa atatolewa mjengoni
-Kuhusu mapenzi mjengoni
-Mwanaume gani anapenda kuwa naye
-Adai kabla ya kwenda BBA 'The Chase' hakuwa na mpenzi
-Aelezea umri wake kuwa ni miaka 25
-Aeleza faida za BBA kwa Tanzania
-Malengo yake baada ya kutolewa BBA

0 comments: