Matukio muhimu katika miaka 50 ya Umoja wa Afrika
Majeshi yasiyopendwa
Mwanzoni mwa miaka ya 1990, OAU ilikuja na sera mpya: Afrika
ilitaka kushughulikia migogoro yake yenyewe. Hii ilipelekea kuanzishwa kwa utaratibu wa amani. Yalipofanyika mapinduzi nchini Burundi mwaka 1996, OAU ilichukua hatua kwa kuiwekea vikwazo nchi hiyo. Kwa ujumla utaratibu huo umeendelea kuwepo lakini una udhaifu mkubwa sana na moja ya sababu ni kutokana na umoja huo kukosa fedha .
0 comments: