ANGALIA PICHA ZA RAIS KIKWETE AKIONGOZA MAZISHI YA WANAJESHI WALIOUAWA DARFUR

Miili ya Mashujaa wetu iliwasili eneo la tukio tayari kwa maagano




Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma waliongoza zoezi zima
















Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Mashujaa wetu walikuwepo






















Viongozi, Wafanyabiashara na watu maarufu walikuwa miongoni watu waliopata fursa ya kuwaaga mashujaa wetu
















Wanajeshi walikuwa bega kwa bega toka mwanzo












Hali ilivyokuwa Zanzibar

01



03



04



Tutawakumbuka daima.... RIP Mashujaa wetu


PTE. Fortunatus Wilbard Msofe.




PTE. Peter Muhiri Werema.




PTE. Rodney Gido Ndunguru.




CPL. Mohamed Chukilizo.




CPL. Mohamed Juma Ally.




CPL. Osward Paul Chaula




SGT. Shaib Othman
Share on Google Plus

0 comments: