KITUO CHA HAKI ZA BINADAMU CHAMKALIA KOONI WAZIRI PINDA CHAMTAKA AFUTE KAULI YAKE YA ''WAPIGWE TU ''ALIOITOA BUNGENI

Waziri mkuu Mizengo Pinda

Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha haki za binadamu (Legal and Human Right Center) Daktari Helen Kijo-Besimba (kulia )
Taarijfa hii ni matokeo ya ufuatiriaji utendaji wa shughuli za serikali kama zinavyowasilishwa Bungeni na kauli ya Waziri mkuu Mizengo Pinda alietoa kauli hiyo Bungeni siku ya tarehe juni 20 2013 wakati akijibu maswali y a papo kwa hapo.Waziri Mkuu Pinda alivitaka vyombo vya Ulinzi na
Usalama hususani Jeshi la polisi watakaopinga na kukiuka amri zitakazotolewa na jeshi hilo.
Katika tamko hilo Pinda alisema kuwa Serikali imechoshwa na vurugu na kwamba hakuna njia nyingina ya kupambana na vurugu hizo zaidi ya kipigo
Share on Google Plus

0 comments: