HII NDIYO FILAMU MPYA YA RADO ILIYOINGIA SOKONI WALPER NA MBOTTO NDANI YA SCENE

filamu Mahabuba niue.
Mahaba niue ni fililamu iliyoongozwa na muongozaji mahiri wa filamu nchini tanzania Rashidi Mrutu,hadithi hii imetungwa na rado,pia baadhi ya waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini wameshiriki katika filamu hiyo,baadhi ya waigizaji hao ni Jembe Jackline Walper a.k.a Walper Gambe,salumu Haji 'mbotto',Rado mwenyewe pamoja na waigizaji wengine mahiri katika tasinia ya filamu Nchini.


Share on Google Plus

0 comments: