BREAKING NEWS KIONGOZI WA CCM GAIRO MKOANI MOROGORO AMWAGIWA TINDIKALI



Meza yetu ya habari imepokea taarifa toka Gairo - Morogoro kuhusiana na tukio la  kumwagiwa kwa tindikali Mwenyekiti wa CCM mjini hapo.  Inasemekana watu wasiojulikana jana usiku walimmwagia tindikali Mwenyekiti wa CCM Gairo  akiwa maeneo ya
nyumbani kwake, hadi sasa hatujajulishwa hali halisi ya Mwenyekiti huyo ila inasemekana yuko njiani kuelekea Mjini Dar es salaam kwa matibabu zaidi.
Share on Google Plus

0 comments: