RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA MADAKTARI WA KICHINA WALIOWAHI KUFANYA KAZI TANZANIA

drshein 963d0
Raisi wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akikutana na madaktari wa kichina ambao waliwahi kufanya kazi za kitabibu Tanzania. Dr Shein ambaye yupo china kwa ziara ya kikazi alikutana na madaktari hao kwenye mji wa Nanjing uliopo kwenye jimbo la Jiangsu.
Share on Google Plus

0 comments: