ZAIDI YA WAKENYA MILIONI MBILI KUTOPIGA KURA



Wakenya walioko nchi za n'gambo wanasema wanaona wameonewa kwa kutoruhusiwa kupiga kura, ingawa fedha wanazopeleka nyumbani zinasaidia sana uchumi wa nchi yao.
Inakisiwa kuwa Wakenya walioko nje, hasa Marekani, Uingereza, Ujerumani na nchi jirani ni......
kama milioni mbili na nusu.
Mwezi Novemba serikali ya Kenya iliamua kuwa Wakenya walioko nje ya nchi hawataweza kupiga kura kwa sababu ya matatizo ya usafiri na kifedha.
Share on Google Plus

0 comments: