![]() |
| Mbuzi wa ajabu ajulikanaye kwa jina la ‘Mawimbi’. |
Mbuzi huyo aliyekuwa akimilikiwa na Julius Mawimbi, Mkazi wa Ukonga
Mazizini, Dar es Salaam, ameibua maajabu mapya kwa namna alivyofikwa na
mauti kisha kuzikwa mithili ya binadamu.Imebainishwa kwamba Mawimbi alijulishwa kuhusu kifo cha.....
mbuzi wake akiwa safarini,

0 comments: